Hali ya hewa ilikuwa shwari majira ya alasiri..... lakini muda mfupi baadae mambo yakabadilika..... |
Mvua ilipoanza kunyesha.....si ndo mashetani ya kimanyema yakapanda....... kunipa mizuka zaidi ya kufanya vitu hatari zaidi stejini.... |
Tuendelee Ama Tusiendele.....??? Majibu yao ndo yakanipa furaha na amasa zaidi.... ni kuanza kuwalewesha Mvuani Tu....Mizuka Imepanda.....ajajajaja....!! |
jana me mwenyew nilikuwa mmoja wa watu ambao 2linyeshewa mvua, big up bro nimekuelewa jana.
ReplyDeleteUlitisha sana mzazi,
ReplyDelete