| Linah akitumbuiza kwa mbwembwe kama ndege Mnana.... |
| Katibu Mkuu wa Ccm Abdrahman Kinana na wajumbe wake..... |
| Katibu Muhenezi wa Ccm Vijana Mhe.Nape Nauye akisikiliza muziki kwa hisia.... |
| Tmk wanaume Family nao walikuwepo......wakiongozwa Chege Chigunda.... |
| Qboy akiset Mipango kabla ya Rais wa wasafi kupanda kukiwasha stejini... |
| Dancers wa wasafi wakifurahi jambo kwa pamoja....!! |
| Si ndo zamu ya Wasafi ikafika kukinukisha Stejini..... |
| Bahada ya Diamond Kupanda steji ilikuwa haitoshi...... |
| Mpera Mpera kama kawaida yake iwe usiku au mchana mwendo ule ule... |
| Yaniii......hadi raha ni step kwa step....kukonga nyoyo za mashabiki.... na wanachama wa ccm.. |
| kwa kuringa ringa ndio wanadata.... |
| wakina mama wa ccm wakicheza Nyimbo ya Diamond kwa dzain ya mchezo wa kwaito.....aijalishi umri ni kulewa tu.. |
| wananchi wa Morogoro na wanachama wa CCM ....Tumeelewana..........??? yeeeess ...." |
No comments :