Hii ilikuwa Jumapili moja tulivu......Nashukuru mungu kwa pumzi yake aliyotujalia na neema tele kwangu mimi na familia yangu kwa ujumla....... Mtoto wa kimanyema baada ya kuwa na show za hapa na pale na mizunguko kemkem ya mwanadamu,nikaamua kuwa hata inabidi na mimi nipumzishe akili kwa kujumuika na family n friends katika ku enjoy matunda ya kazi yangu..... Nilikuwa na dada yangu kipenzi Esma platnum,Halima kimwana, Qboy Mnyama na Faridah..... Behind the Camera alikuwa my crayzz Boy Hamish Donovan Malongo....akisababisha na kufanikisha ule mpango wa picha picha usilale...kama niwapo stejini kuakikisha wanapagawa...!! Nilidondoka alasiri jumapili ya tarehe 14 mwezi wa 4 mwaka huu .....nikiwa na furaha tele kuwepo karibu na fans wangu waliokuwepo maeneo hayo......
Zifuatazo ni picha mbali mbali za matukio siku hiyo......ndani ya Jangwani Seabreeze...! |
mmetokelezeaaa!!
ReplyDeleteBhaaaaaaaas umetisha mwaka wako huu mkuuu na bado mwendo mtund0
ReplyDelete