Baada ya kutoka kukutana na Mheshimiwa katibu wa wizara ya utamaduni zanzibar...moja kwa moja nilielekea kwenye mazishi nyumbani kabisa kwa marehemu bi kidude....nilitahamaki kukutana na umati wa watu....na mboni zangu zikapelekea kupata hisia moyoni ni kweli bibi atunae tena...... Moja kwa moja nilisalimiana na ndugu wa karibu waliokuwepo nyumbani hapo na kisha kupelekwa chumba ambacho maiti ilihifadhiwa kabla ya kutolewa na kwenda kuswaliwa msikitini....!! Majonzi na simanzi yaligubika usoni mwangu baada ya kuona mwili wa bibi yetu kipenzi marehemu fatuma binti baraka......
Zifuatazo ni picha kadhaa kwenye mazishi.....!! |
hongera sana kwa ushrikiano wako kwa bibi yetu kipndi.
ReplyDelete