technology

business

TIME HII NIKIWA HOME SWEET HOME NIKIJIWEKA BODY SAWA...!!

Most Of The Time Nikiwa Home  Baada ya 
shuguli za kimuziki Napendelea
Sana kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yangu pia kuweka 
Mwili kwenye Muonekano Mzuri...
Mazoezi yanachangia kwa Kiasi kikubwa kwenye Maisha yangu ya kila siku ....!!
Kiafya zaidi.....Uchangia hata kupunguza mafuta mwilini na hata kuepusha magonjwa
Mbalimbali kwenye Mwili wa Binadamu...!!
Frank Mnyamwezi......



With My Homeboy Abou.....!!





Ooooh...........Yeah....!!











Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

2 comments :

  1. Without mazoezi unakuwa shapeless..
    I can see how harder you work bro...
    Like you

    ReplyDelete


three columns

grids

health