technology

business

KAHAMA MPOOOOO....???

CREW NZIMA YA WASAFI IKIONGOZWA NA PREZDAH
MWENYEWE
SIKU YA LEO  TUTAKUWA KAHAMA KWA KUKIWASHA NA
KUWEKA HISTORIA
 KAMA KAWAIDA YETU....NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA
 LEO TUKIWA SAFARINI
KUELEKEA KAHAMA....TOUR HII YA KANDA YA ZIWA
INAENDELEA....
IJUMAA YA KESHO NTAKUWA GEITA,AMBASSADOR CLUB......
JUMAMOSI NTAKUWA BUKOBA LINERS CLUB.....JUMAPILI
NTAKUWA
BUKOBA UWANJA WA KEITABA KUSABABISHA UNYAMA
NINI NA NINI....USIKU
NTAKUWA MLEBA CALIFORNIA CLUB...
JUMATATU YA TAREHE 1APRIL NTAKUWA KARAGWE
KUKINUKISHA NA KUMALIZIA
TOUR YANGU HII YA EASTER KANDA YA ZIWA 


Safari ilianzia Home kwa Mama Naseeb....!!



Nikiwa Nimewasili airport na Crew yangu Nzima.....




Moses Iyobo & Rama Mpauka....!!

Baada ya Kuboard Nikielekea kweye Flight....!!

Dumi utamu & Emma Platnumz
QBoy Shem Lakeeeeeeeee......!!

Nikiwa tayari kwenye ardhi ya Mwanza....!!

Platnum na Mwanagu Mafia Mnyama along side Shem lakeee QBoy...!!



Nilipowasili Mwanza Nilikutana na wazee hawa wawili ambao walinifariji
kwa kuniambia ni moja ya shabiki zangu...
Hapa Nikipokea Baraka zao na Maneno yenye hekima....!!
WASAAAAAAAAAFIIIIIIIII....!!!








For More Info kuhusu Tour Nzima ya kanda ya ziwa  endelea
kutembelea Blogsite yako ya kijanja ya This is diamond
uwe Mjanja zaidi....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health