Napenda kutanguliza Shukrani za Pekee kwa Mwenyezi Mungu....kwa kutuwezesha Mimi na Crew Yangu Nzima ya WASAFI Kufika salama KAHAMA na kupokelewa na Maelfu ya watanzania wenzangu wanaokubali Kazi zangu wakubwa kwa wadogo...! Nawashukuru Pia kampuni Nzima Iliyoweza kufanikisha Tour yangu Hii ya kanda ya Ziwa sehemu hii ya KAHAMA...... Usiku wa Jana Niliporomosha Show Matata Ndani ya KAHAMA na watu wengi kufurika mpaka kufikia wengine kukosa Hewa Ingawa ukumbi ulikuwa wa wazi......!! Shukrani za Pekee Nyingi ziwaende Mashabiki zangu wote wa KAHAMA waliojitokeza kwa wingi Kushow Love kwa President wa WASAFI......
Zifuatazo ni Picha za Show ya Jana KAHAMA...!! |
OYA WEWE MPAKA UVUE SHATI KWA SHOW ZAKO ZOTE....MY OPINION U LUK GUD WID DA SHIRT ON FROM KENYA ...PEACE
ReplyDeleteDUH KWELI KAHAMA MLIFAIDI,POLE SANA KAKA LAKINI JE KUNA UKWELI GANI KUHUSU ALIYEPANDA JUKWAANI KUNYONYA CHUCHU ZAKO,NA BOYFRIEND WAKE KUMPA MAKONDE ADHARANI.
ReplyDeleteplatinumz you are the best artist keep on dont matter what they say about you because success always has difficulties and no one is happy to see someone is doing good with his work.. you are so focused on what you are doing and this is the only thing that differentiate you with others......
ReplyDeletefollow excellence and success will follow you
Nampenda sana Dumi! dah!
ReplyDelete