| Tukipeana habari za mjini,kabla ya show kuanza... |
| Wasafi |
| Kiukweli nilikuwa na mzuka wa kutosha baada ya kuuona umati mkubwa sana wa watu waliudhulia kwenye show hiyo, |
| Wasafi |
| Mzuka ukipanda unaweza kufanyalolote bila kujali.... Huyu ni shabiki aliyeshindwa kuvumilia na kupanda juu ya stage... |
| Hoi... |
| Emma Platnumz |
| Dah! baada ya show nilikuwa Hoi sana... iliniladhimu kupewa nafasi ya kupumzika kwa muda kadhaa... |
| Nikiteta jambo na Rj |


nice buda....uko juu jamaa, keep up and give us some more...
ReplyDeleteUmetisha sn ma bro & gud lukin on de stage.. kip it up!!
ReplyDeleteHapo,mi sisemi upo juu kaza buti weweee,Diamond ndo Habari ya Mjini!!!!!!
ReplyDeleteumetsha sana diamond pale Dar live
ReplyDelete