Kwa mara ya kwanza jana kipindi cha X-Live kinachoendeshwa na mwanadada Peniel wa Dtv.... Kiliruka hewani na President nilipata nafasi yakualikwa katika kipindi hicho na nilijiskia furaha kuwa msanii wa kwanza kufanyiwa Interview katika kipindi hicho cha X-Live... Tulizungumza mengi ikiwemo Video zangu zote mbili Nataka Kulewa na Kesho ila kubwa kuliko ni Show ya Wasafi itakayofanyika pale New Maisha Club siku ya Tareh 1/1/2013 USIKOSE |
|
seriously,hv romy j hanaga kazi za kufanya mpk kila interview yako awepo?
ReplyDeleteAlikuwa anafanya nini kabla hujatoka..
Good luck in usiku wa wasafi..