technology

business

HAYA NDIO MANENO YANGU KUHUSU STORY YA LEO KWENYE GAZETI LA RISASI KUHUSIANA NA MSICHANA HUYU ANAEDAI ANAMAHUSIANO NA MIMI................

Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake...  dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

13 comments :

  1. daah isije kuwaunatuzuga tu hlf nyuma ya pazia km kawa...........!@becka

    ReplyDelete
  2. Wewe bhana ni muongo Diamond, kwani Wema Sepetu, Jocate na Huyo mwanadada wa malindi nani waukweli?Maana hapoa bhana unazuga tu wewe ni mwanamume bhanaaaaaaaaa!! Exavery from Moshi

    ReplyDelete
  3. kiukweli jama tuwe wazi hasa wasanii mnapo kuja mikoan mnatabia yakutoka na vidada vya huku mikoan,kusema huna mahusiano nae its ok bt eat and run imefanyika ,unabiiishaaaa watu tufunguke?????????

    ReplyDelete
  4. Kaka watatokea wengi xna coz you have a Lot of MONEY.Be care Mr PLUTNUM.

    ReplyDelete
  5. that is normal meen. si unajua usupa staa i mzigom wa miba, anatafuta umaarufu tu huyo. don mind. ila shoo uliofanya malindi ulitisha meeeen. big up

    ReplyDelete
  6. mbona niliona umepost picha za huyu manzi mkiwa wote kwenye wall yako fb au si a/c yako ile

    ReplyDelete
  7. dogo jiangalie sana sasa unapakaza,na kukanusha kwako imekuwa kawaida.take care vicheche vipo around always

    ReplyDelete
  8. Diamond don't fool us ati hamuna relation. Awezaje nuzla kuja dar kwako akusafirishe airport ulipokuwa wenda US then aku received MOI International Airport waja malindi ku perform umlalie mapajani. Malindi mu take photo.Kama wa kana she's not ur GF then ulikuwa wala bata tu naye. Ww chezea ma binti za wenyewe hapa duniani but utaweda jibu kwa Allah

    ReplyDelete
  9. Dogo mbona sikusomi. Hapa umesema kwamba unaamini mpenzi wako kila mtu anamjua: at least kwa mujibu wa Millard Ayo, mpenzi wako ni Jokate. The other day, kwenye "U heard" ya Soudy Brown, umemkana. Sasa tukuelewe vipi? Au wee mwenyewe pia hujielewi??!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Dogo unafahamu kuwa mambo mengine unajitengenezea wewe mwenyewe,mashabiki wako si wajinga na unafahamu kuwa una lundo la kashfa,sasa kwa nini unatengeneza mazingira ya kusababisha misemo kisha unabaki kukataa ama kusahihisha yanayoonekana waz???? jichunge mwenyewe na hutakuwa na scandals za hovyo kama ulizonazo sasa.kama ungekuwa unalala kwenye mapaja ya kila mdogo wa muandaaji wa shows zako basi nadhani ungekuwa na encyclopedia iliyojaa picha.na wala hakuna sababu ya kujiosha kwa sababu si kila mtu atakuelewa kwa sababu umeclarify ingawa mimi nitakuelewa pengine.DO THE BEST AND SOCIETY WILL DO THE REST.

    ReplyDelete
  11. Aaaai, huyu katokea wapi tena duh, Dada hivo sivyo kabisa

    ReplyDelete


three columns

grids

health