| Hapa nikisalimiana na Presenter wa Jogoo Fm |
| Nikisikiliza swali kwa umakini kutoka kwa mmoja ya watangazaji... Mmmmh! aliniuliza kwa umakini sanaaaaa! |
| Nikijibu swali la msikilizaji aliyepiga sim,nakutaka kujua nawasaidia vipi wasanii wanaochipukia.. |
| Nikiendelea kujibu maswali.... |
| Doooh! Maswali mengine bhana! Ilinibidi nicheke.... |
| Mnyama Moses Kunambi alikuwa ndani ya nyumba... |
| Maswali ya wasikilizaji yalikuwa pasua kichwa Mmmmh! ni vicheko kila wakati |
| Hapa nikiwa na Mkurugenzi wa Jambo Lee Club |
| Tukipitia baadhi ya sms za wasikilizaji... |
| Nikisikiliza swali kutoka kwa Msikilizaji... |
| Wasafiiiii! |
No comments :