Wanyama wakidondoka |
Huu ndio umati wa wakazi wa Songea uliokuja stand kunipokea niwaskuru sana kwani walikuwa radhi waache kazi na shughuri zao zote na kuja kunipokea mimi na team yangu licha ya kua ilikuwa ni usiku. |
kwa kweli niwashkuru sana jeshi la polisi la wilaya ya Songea kwa kuhakikisha usalama ni wakutosha |
Hapa wakijaribu kuwarudisha wananchi nyuma ili tuweze pata njia ya kupita, kiukweli ulikuwa ni umati mkubwa sana.. |
Asante sana mwenyezi Mungu kwakunifanya mwenye kupendwa na kukubalika na watu |
duh! Mixer ma Bodaboda nini.... Bhaaaaaaasssssss! |
Eb jitazamie mwenyewe hako Kamsafara ka'mabodaboda
Kweli lazima umshukuru manani DIAMOND bse watanzania wanakupenda sana sana sana...mm ni miongoni mwao
ReplyDelete