
Naamini wengi wamezaliwa na vipaji vya uigizaji... tena naamini wengine wanaweza fanya hata zaidi ya sisi tulivyofanya kwenye video....waweza kuigiza kipande chochote unachokipenda katika huu wimbo na kukipost na kuweka hashtag #UTANIPENDA kisha tutumie kupitia +255757339215 nasi tutaipost katika mitandao yetu yote https://youtu.be/
No comments :