technology

business

WANA MAISHA MAZURI,NI WAREMBO NI WASOMI LAKINI HAWAOLEKI


ni wasichana na wanawake warembo sana wanamiliki magari na maisha mazuri pia wameenda shule, lakini cha kushangaza hapa hawa wasichana pamoja na kuwa na vyote hivyo lakini hawaolewi, yaani wote wapo single.Bahati mbaya asilimia kubwa washajijengea sifa kuwa wana nyodo..maringo dharau na kuchagua sana wanaume wa kuwa nao na wengi wanaishi aina ya maisha na tabia ambazo zinawatoa kwnye u wife material kiasi kwamba hawaoleki..hupenda wamtawale mwanamme bahati mbaya mwanamme aliumbwa kutawala so ni ngumu..lkini pia hupenda yale maisha ya kutaka  uhuru,,wawe huru kupiga misele kila kona ..hapo ndio wanaume wengi hushindwa masharti na kuamua kwenda kuoa Wanawake wa maisha ya kawaida tu tunabaki kuulizana..na bila shaka ushaskia misemo kama.KUOLEWA SIYO LAZIMA OR KILA MTU ANA MAAMZI YAKE  OR ME MISS INDEPENDENT SINGLE LADY..but ukweli hakuna mwanamke asopenda ndoa anafikiria kakaa peke yake dunia  hii.
Ndoa ndio kila kitu katika dunia, bila ndoa sidhani kama ungekuwepo leo wewe..Jaribu kufikiria kidogo tu!! 1.Tunahangaika kutafuta pesa na maisha mazuri kwa ajili ya nani kama sio familia zetu ambazo ni mke, mume, watoto na wazazi baadae.2. kama utakuwa tajiri mkubwa mwenye kila kitu je? unadhani bila kuwa na familia utafurahia mali ulizo nazo?
misemo ya kuolewa siyo lazima or kuamua kuishi alone  huja baada ya kukosa kila anachopigania n umri unakua unaenda.. wanakuwa wamepitiwa na watu kama njia ya kuelekea kwenye maisha yao kwani wao namna wanavyokuwa  wanakua hawaoleki or tbia zao
wanajikuta wako selective n hali hii inawafanya wanaume kuwachukua na kuwachezea, no love , just having fun with them at the end  wanaishia kuwa senior bachelors ndio inakuja option ya BORA NIZAE MTOTO WANGU
hapo atatafuta mume wa mtu anatiwa mimba na kuzaa.. . but Nashauri mwanamke hata kama umesoma na una kaz nzuri na una kwako lakin kukaa na mume na kufanya familia  ni baraka hata mbele za Mungu na utabarikiwa daima...kikubwa ACHENI NYODO KWA WANAUME ..wacheni kuchagua ..humtaki huyu unamtaka wa vile n unaemtaka hapatikani or ni fuckboy..badilisha tbi za kuwafanya wanaume wakuone haufai Punguza marafiki wasio na faida..ulevi wa ajabu ajabu...club daily...vaa mavaz yenye kukusitiri maungo ...heshimu kila mtu fanya mazoezi utengeneze shape ya mwili wako vizuri...kula mlo kamili....utapata mume na Mungu atakushishia baraka tele....KAMA KUNA ALIYETENDWA, PIGA MOYO KONDE UTAPATA WAKO WAKUKUPA RAHA NA AKUOE.MWANAMKE AMBAE HAPENDI KUOLEWA HUYO ANAMATIzo TU. HUO NDO UKWELI JICHUNGUZE ILI ULIJUE TATIZO LAKO
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health