technology

business

Marafiki wa kweli (best friends)

TUnaishi dunia ambayo watu wamejaa maovu  bahati mbya maovu haya huchangiwa na marafiki(best friend) binafsi cpendi kbisa kua na mabest friends ndio maana nimeepuka kua na tabia nyingi mbovu..huenda nami ningekua cha pombe...mvunga bangi...sigara ..mzinzi sanaa.mtu wa kujirusha na tabia nyingine mbovu ..but sina wa kunishawish kufanya hayo..best friend wangu n wazazi ..wadogo zangu na boss wangu tu..elewa kuna marafiki na rafiki wa karibu(bestie)..Marafiki ni watu wa karibu tunaoishi nao katika jamii ama mkusanyiko wa watu. Inaweza mmezawa  kijiji kimoja, mnasoma shule moja ama mnafanya kazi afisi moja. Wote ni marafiki zako, huwezi kuwaepuka hata kidogo. Lakini katika lundo hilo la marafiki lazima utakua na mmoja tu ama wawili ambao ni wandani wako, hawa ndio ma bestie ninaozungumzia walipo wao ndipo ulipo wewe, wafanyalo wao ndilo ufanyalo wewe hamuepukani.
Mwandani wako ni kama ndugu, hamuachani Marafiki ni watu wazuri sana kuwa nao, kadhalika ni wabaya sana . kuna watu wengi wamekuwa wakiharibikiwa sababu ya marafiki kuna marafiki unaitaji kuwachuja ikiwezekana unawasahau..wewe unaunganana na marafiki walevi wazinzi na uko radhi kuvunja ndoa /uhusiano wako ama kazi yako sababu yao unategemea nn ;biblia inasema..marafiki wabaya uharibu tabia njema chuja ikiwezekana fyeka uwasahau hayta kama ni Kifesi
UTAJUAJE RAFIKINAKUFAAE? 👇
Wapo marafiki ambao wanakujua pindi uwapo na shida, hao ni wazuri sana. Wapo marafiki wanaokuonya pindi unapopotea, wakumbatie sana marafiki hao usiwaache, wapo marafiki wanaokuvuta utoke kwenye shimo la hatari, wapende sana na ikiwezekana kawatambulishe kwenu.
Lakini wapo marafiki ambao wanasubiri upotee ndipo wakuseme, kaa mbali nao ila usiwatenge maana si kosa lao bali hawajiamini. Wapo marafiki ambao ukiwaambia ukweli hukasirika na pengine huiambia jamii wewe ndie mbaya maana unamzulia mambo asiyo nayo, rafiki huyo muepuke baki kumpa salamu tu lakini si siri zako. Wapo marafiki ambao hukufata pindi wawapo na shida tu, ni vema wasaidie, ila unapogundua wewe ukiwa na shida wanakuepuka huna budi kuwaepuka nao...
CHUJA ..ACHANA NA MARAFIKI WENYE TABIA ZA KIJINGA ZENYE KUKUWEKA KWENYE KUNDI LA WALOHARIBIKWA..tag na mwenzako ajifunze



Ungana nami Instagram @paulchazzy
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health