technology

business

WANAUME PUNGUZENI CHIPS YAI PIGENI UGALI KWA SANA MUWEKE ADABU KITANDANI



Mimi huwa nashindwa elewa mwanaume Hasa wa DAR..from monday to friday lunch yake chips mayai chips kuku.,... usiku dinner ni wali nyama .... sasa huyu atatoa wapi nguvu... mboga za majani hali matunda kituo cha polisi... tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume linazidi kuwa kubwaCHIPS YAI zinawalegeza mwishowe mnakaziwa/mgirlfriend zenu na vijamaa from mikoani vya HAPA KAZI TU
 unamkupa brazamen pale EDO CHIPS annagiza chips yai daily hivi unafikiria chips yai tena rojo ? Vijana achene hizo piga Dona Dagaa/Samaki/Kuku kasha kula sana matunda na fanya zoezi usisahau karanga mbichi kwa wingi kisha uone kama hutohanza kupewa nauri ya bajaj na upo kwako... Vijana achni
kiafya chips mayai ni mbaya sana

kwanza mafuta wanayotumia wengi utumia mafuta ya transfomer zile za umeme
pili ni mayai huko temeke wanatumia mayai ya kichina
tatu mafuta kwenye mwili sio kabisa ndio maana leo vijana utasikia ni KISUKARI mara BP
BADILIKA KIJANA chakula na mazoez
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health