technology

business

MISEMO..THEORIES ZILIZO PROVED WRONG


UZURI WA MWANAMKE UPO MACHONI MWA ANAYE MTAZAMA
 UKWELI NI : Uzuri wa mwanamke is a universal factor, or at least a social factor....
 2. Mapenzi hayachagui kama u maskini au tajiri... Hii imegoma, na ukitaka ku prove uwe na mpenzi katika hali ya umaskini, alafu litokee pedeshee wa kike or kiume uone kazi yake, kama hako kamsemo katafanya kazi.
3.  Ukimvunjabinti  ukuta wa Berlin hatokuacha milele! Hii nayo imeshindwa vibaya!

4; :MWANAMKE msomi au aliyekuzidi kipato wasumbufu, usioe. hii imegoma...yani kifesi mimi nioe kilaza Or yupo yupo tu kisa ?Sasa hivi kila mtu ataki kuoa golikipa, kila mtu anataka mwenye atleat diploma. Chezeya maisha wewe!
5.Wanawake wazuri siyo wa kuoa ni wa kuchezewa tu..hii nayo imefeli
6  LOVE IS UNCONDITIONAL. . . . . . . . .hii nayo imefeli vibaya mno, katika malovee kuna conditions hadi terms kabisa. Watu wanaangalia mustakabali wa maisha yao hawana masikhara hata kdogo. . . .kwa mfano una kazi nzuri, una followers wangapi..una biashara nzuri, unajua kupiga mashine kisawasawa, etc!
7;Wanawake wa kijijin ndio wanatabia jema..hii imefeli ..ilikua zamani
8. Wanawake wafupi ni pasua kichwa. Hii bado in a hold. -
9Behind every successful man, there is a woman.. *HII Big NO* ukweli Behind every successful man is; -GOD -Hard-work -Focus -Determination but women always chase men facing success.. No man succeeds without a good womaneither mama or mke  if it is both, he is twice blessed indeed.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health