technology

business

PICHA ZA MATUKIO YA UCHUKUAJI WA TUZO 7 ZA KILI 2014

 Mda mwingine nakosa maneno ya kuzungumza 
kuonyesha shukrani zangu kwa nyie mashabiki wangu
 mlioniwezesha ushindi wa hizi tuzo zote,ila neno moja
 tu napenda niseme,AHSANTENI,NAAHID KURUDISHA
 FADHIRA KWA KUWAFANYIA MAMBO MAKUBWA ZAIDI.










Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

6 comments :

  1. Congratulations diamond ur my rock & my celeb no matter were u come from ur dream is always valid.. We salute u in Dubai. Keep flying like Kim & kanye.

    ReplyDelete
  2. Nasib ss ulipofika utulie na mola atakupa zaidi, ww na Wema ni true love never dies no matter what! ss fanya na la kumfurahisha mungu sio fans tu.

    ReplyDelete
  3. ONGERA SANA KWA TUZO. JITIHADA KUBWA UNAYOFANYA KWENYE MAZOEZI NDIO CHACHU YA MAFANIKIO YAKO LEO, SISI KAMA MASHABIKI WAKO TUNASEMA TUTAKUSAPOTI KWA KAZI ZAKO, KWANI UMEAMUA KUFANYA KAZI KWA NGUVU ZAKO ZOTE, NA UMEAMUA KUFANYA KIMATAIFA TOFAUTI NA WASANII WENGINE WANAONGALIA NDANI YA NCHI PEKE YAKE NAOMBA MUNGU AKUFANIKISHIE MALENGO YAKO YOTE ULIYODHAMILIA KUFANYA. DAIMA SONGA MBELE .

    ReplyDelete
  4. napita tuuuuuuu........speechless shame kwa wote walokusimanga eti ooooo hana sauti oooo cc ndo wakali.........sasa nani mkali kati yako na wao ......yaani umewavuruga kama bunge la katiba.....loved it .b blecd na wakuache miaka 10000000000

    ReplyDelete
  5. HONGERA SAANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA DIAMOND

    ReplyDelete


three columns

grids

health