technology

business

IFAHAMU NAF BEACH HOTEL(MTWARA),HOTEL ATAKAYOFIKIA DIAMOND NA TEAM NZIMA YA WASAFI

Kama utakumbuka tour yetu iliyopita,tulifikia hapa 
,nina  kila sababu njema  za mimi na team yangu   hapa 
kwa mara nyingine tena..Ni moja ya hotel
 bora kabisa  Kusini mwa Tanzania na Tanzania kwa 

ujumla..ikiwa located pembezoni kabisa
 mwa ufukwe wa bahari ya hindi
.. mbali ya vyumba bora,chakula na  huduma safi zinazopatikana
 pale utaweza kufurahia hewa safi na manzari ya kuvutia ya
 Ufukwe wa bahari ..Wiki hii  team nzima ya 
Wasafi tutafikia hapa.Kumbuka
 tour hii imedhaminiwa
 na vodacom ambao wanakupa nafasi adimu ya kulala kuhudumiwa ndani
 ya Naf beach buree wewe na umpendae,cha kufanya follow 
account ya Vodacom @vodacomtanzania

MWONEKANO WA NJE,USIKU

BAR

MIKUTANO ROOM

SITTING ROOM YA MOJA YA VYUMBA

MOJA WAPO YA VYUMBA

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :

  1. team nzima ya wasafi na mrembo sepetu mke wako!narekebisha kichwa cha habari!!

    ReplyDelete


three columns

grids

health