technology

business

FANYA MOJA YA HAYA UWE SABABU YA WAO KUTABASAMU


Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU
 JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA
 UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.

-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka
 kumsalimu na kumtakia siku njema huytu mtu
 anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1:shiriki bure sehemu ya chakula chako 
na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2:Shiriki nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down
3:Mfundishe mtu ,jambo analotamani kulifaham
 na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4:Una nguo ama chochote usichokihitaji 
tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5:Una rafiki ama jamaa mpweke na pengine hana mtu
 wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make 
a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake
,kwani kuna siku nawe utakuwa mpweke 
na utatamani mtu wa kuzungumza nae
6:Panga ku donate damu,damu yako kidogo
 inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7:Saidia mzee,ama mtoto kuvuka barabara.
8:Ambia rafiki,family member ama mtumishi
 ni kiasi gani una mwappreciate
9:Saidia mji wako kuwa msafi,si kazi kubwa kuokota
 kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10:Mpigie mzazi wako na kumwambia ni kiasi gani unampenda
11:Motivate mtu flani atimize ndoto zake
12:Jipe amani ya moyo kwa kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe mwenyewe,Acha
 kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia
 mwili wako,pengine uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO KIASI GANI
 UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA TABASAMU KWA
 MTU,NDICHO KINACHO MATTER ...Siku njema
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :

  1. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog yako diamond your are such a good person tangu umeifungua 2011..umekua ukiandika vitu vya kumotivate watu kuwa wanaweza kutimiza ndoto zao,ukiachilia mbali picha za maisha yako mengine.KEEP IT UP MUNGU ATAKUBARIKI.NI mtanzania nipo uganda.ENDELEA KUPEPERUSHA TZ FLAG

    ReplyDelete


three columns

grids

health