Ni moja ya Hotel kubwa na bora kabisa Mkoani
Mwara,ubora wake hauishii tu kwenye mazingira
mazuri,uzuri wa jengo lililo kando
kabisa ya ufukwe mwanana
wa Bahari ya Hindi ,vyumba na vyakula
vizuri,lakini pia ukarimu wa hali ya
juu wa wahudumu wenye tabasamu
mda wote kuhakikisha unajiskia salama na amani mda wote,vyote
hivi vimenipa ujasiri wa kukiri kuwa Naf Beach hotel ni
Hotel Bora kabisa mjini Mtwara....!!!
Inavyoonekana kwa nje
Uingiapo na kutoka,unapokelewa na red carpet safi kabisa
Korido kuelekea bar na mgahawa
Sehemu ya mgahawa
Bar
Chumbani nikijiandaa kwa show ya Lindi
No comments :