technology

business

INTERVIEW SESSION:MAHOJIANO NA KISS TV NA WAANDISHI TOKA MAGAZETI MBALI MBALI YA KENYA


 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
 
Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza






 Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri




 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazeti




Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

4 comments :

  1. we mwanaisha unajidai unajua kusahihisha watu, hujui wengine hupenda kuliandika neno as it pronounced, mbona wanaoandika you huandika u na nikawaida, mwenzio kuandika mike unashangaa, tuache ushamba wa kuona wengine kuwa hawajui. na huelewi maana ya kucoment unaanza kukosoa,

    ReplyDelete


three columns

grids

health