Hii ilikuwa ni siku ya ijumaa,nilipotembelea
kituo cha kulelea watoto,kilichopo buguruni,nilishiriki nao chakula cha pamoja,
kuimba nao,kucheza na kuzungumza...mmoja wao
alikuwa ni huyu binti mwenye kipaji cha kuimba,tuliimba
pamoja wimbo wa mziki gani..yeye akichukua
nafasi ya Nay true boy..japo alikuwa akiimba kwa sauti ya chini..
lakini ni muimbaji mzuri na anakipaji...
hahhaha entertainment kwa watoto is something very important. keep it up D and the door of blessing will be waiting open for a person like you. 'waachane watoto waje kwangu'
ReplyDelete