technology

business

NATOA POLE KWA MTOTO HUYU ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUNIONA

 Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
 mdogo,aliyepata

 majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

16 comments :

  1. Platnumz..no one does it better than you,walikuwepo lakini sio kama wewe...kaka!

    ReplyDelete
  2. dah! nimekuelewa sana mkuu,unajali mashabiki wako,pole sana katoto

    ReplyDelete
  3. unafanya haki sana mwana, mungu akuzidishie

    ReplyDelete
  4. safi sana !!! kweli wasafi mpaka roho safi ,pole sana mtoto

    ReplyDelete
  5. umetisha sana mungu akuzidishie maisha marefu hapa duniani

    ReplyDelete
  6. Unafanya vizuri lakini kuonesha chupi mbele ya watoto haina maana

    ReplyDelete
  7. pole mtoto nimependa ulivyomtia moyo na kumsaidia hy mtoto inabidi umpe nafasi ya kataika wale walioshinda maana ameumia kwa ajili yako

    ReplyDelete
  8. good bro...nmeipenda pia ile ya kuwasomesha watoto walocheza ngololo...uswe your money that way and your springs will never run dry

    ReplyDelete
  9. umekuwa mfano mzuri kwa jamii ,ni tendo jema Mungu akuzidishie

    ReplyDelete
  10. Waacheni watoto wadogo waje kwangu,we mkaliii the one and only n tz.

    ReplyDelete
  11. HATERS MPOO AHHHAAAA MTAJUTA DAI DUNIAAAA YAAAN

    ReplyDelete
  12. wazazi tuwe makini na watoto especially kwenye matukio kama aya yenye mkusanyiko,angalia mtoto alivyoumia masikini,muwe mnatu updte the way mtoto anaprogress plz.

    ReplyDelete
  13. ofcauz we love u but try to keep in consideration the way u dress and why u do so.awa ni watoto wadodo aina aja ya kuwaonyesha body na nguo ya ndani,komaa mzee ulipo mbali tayari ila kazaa uwende zaidi

    ReplyDelete


three columns

grids

health