CAPITAL FM KENYA,WAKIIZUNGUMZIA PERFOMANCE YANGU YA WIMBO WA TEMPTATION,COKE STUDIO
Tagged with:
Posted by Paul Chazzy 6:19 AM 5
Tagged with:
Ukweli ni huo,ila watanzania tumezoea kumshusha mtu akiwa anapanda juu, mkuu komaa bila kulegeza kamba na usisahau kufanya mazoezi ya kupambana na wanahabari kwenye interviews maana kasi unayopanda nayo juu ndio ndivyo interview za kimataifa utakavyozidi kukutana nazo,(USISAHAU SADAKA AU KUWANUNULIA WATOTO WA CHUONI MAJUZUU NA MISAHAFU,USIFUATE USHAURI WA BINADAMU, ANAE HUKUMU NI ALLAH PEKEE)
ReplyDeleteWatanzania tufumbuke na tujutambue ,vijana wetu kama Diamond ,Marehemu steven Kanumba ni vijana ambao wameifanya Tanzania ionekane nche za nje kwa maigizo na music,hivyo basi tuwakubali sisi tujivunie sisi tuwapende chuki fitina na majungu hayasaidii,Na kwa wale wanaotukana wasanii tujifunze tuache hizo tabia,unamtukana mtu ambae hata hakujui,si ndiyo atakuwa hakujui kabisa,lakini ukimtakia mazuri lazima atakufahamu tu na atakupenda hata msipoonana ana kwa ana atakupenda na atakuombea mema na utabarikiwa,kuliko mtu akisoma coment yako anasikitika kwa kuona ujinga wako uliouandika harafu anamuachia Mungu.ujue wewe unaewatakia wasanii mabaya na kuandika vibaya haufiki mbali namaisha yako hayawezi kwenda maana hata Mwenyezi Mungu atakuchukia tu utake usitake maana wewe unawachukia watu bila sababu ,Mungu akusaidie Diamond na akupeshe na wale wenye roho mbaya na fitina kwako,wewe usiwajibu wala usiwachukie zidi kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu aswamehe maana yawezekana wanamtumikia shetani pasipo kujua.Na Hakika kabisa Mwenyezi Mungu atakulinda na atazidi kukuongeza kile utakacho maana aliisha kuinua juuu na utazidi kuwa juu.
ReplyDelete
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY
Upo juu kaka, Kenya twakubali!
ReplyDeleteWow thats nyc then.
ReplyDeleteAsiye kukubali jua huyo mchawi kaka. big up diamond@plantinumz.com
ReplyDeleteUkweli ni huo,ila watanzania tumezoea kumshusha mtu akiwa anapanda juu, mkuu komaa bila kulegeza kamba na usisahau kufanya mazoezi ya kupambana na wanahabari kwenye interviews maana kasi unayopanda nayo juu ndio ndivyo interview za kimataifa utakavyozidi kukutana nazo,(USISAHAU SADAKA AU KUWANUNULIA WATOTO WA CHUONI MAJUZUU NA MISAHAFU,USIFUATE USHAURI WA BINADAMU, ANAE HUKUMU NI ALLAH PEKEE)