technology

business

PICHA:ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW WALE WALIOTUMA MAOMBI YA KAZI WCB

 Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview
 baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa
 mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa
                                                                      juzi,mwitikio
 wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma
 email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu 
kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi
 tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
 kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata
 changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo 
 na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana 
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili
 na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango
 tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....
Ahsanteni sana.


 Usaili kwa vitendo ndiyo kitu tulichokizingatia zaidi......
                                  Tukiangalia kazi za mmoja ya watu tuliowafanyia usaili


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

7 comments :

  1. lakini kaka wewe unachagua watu unawajua wewe iweje ushinde kufanya hata uwanjani ukafanyia ndani

    ReplyDelete
  2. Watu wasikuuingilie katika swala la Management angalia mziri zaidi ndiyo apite ili kazi yako leo kesho iwe na ubora zaidi big up Diamond

    ReplyDelete
  3. hiyo ni bahati yao mungu ndo kawapangia, kama bahat yako ni yakwako atakama interview ikifanyika london, som tim inabid tujifundishe kukubal kushindwa

    ReplyDelete
  4. unatoa nafasi kwa vijana wenzio wapate mkate wao wa kila siku safi sana keep it up

    ReplyDelete


three columns

grids

health