technology

business

HEBU NIAMBIE KATIKA VIDEO HIZI ZA,MBAGALA,KULEWA&NITALEJEA IPI NLIVAA UHUSIKA NA UNAGUSA MAISHA YAKO?

                     
                     
                     
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

14 comments :

  1. Kyaal deh! Nitarejea...moto sana..

    ReplyDelete
  2. Hapa Diamond umenichanganyi zote naziona zipo na hisia kariiiiiiii sana nimekosa jibu hapa.Usisaha Camera urudipo TZ niliorder mapema sana pale tu ulipotembelea duka la kisasa barani Asia

    ReplyDelete
  3. Nilianza kukupenda ulipotoa video ya mbagala coz ulivaa uhalisia zaidi na ndio iliyokufanya uvae uhusika tena kwenye nitarejea ila nataka kulewa hujavaa uhalisia 100%

    ReplyDelete
  4. Ebhana Prezdent zote zimetisha ile mbaya yan...ila kali zaidi #NITAREJEA

    ReplyDelete
  5. kwakweli unatisha zote mm penda sna!!!ila ntarejea inanigusaaa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. ile ya nitarejea ndio ulitisha sana uhusika ule ule na mguu kama mkulima vile

    ReplyDelete
  7. nitarejea ulifanyaga hadi nkakupendaga jamaa

    ReplyDelete
  8. Nitalejea is typical of hardships faced back home. You were very original..I love the chicken making noise lol lol lol and you eating a big ugali with countable pieces of fish i guess..Good job...Its a touching song you should perform it live with the chic..Hawa.
    Na hata mashambani you still was a loving man..went to the well with her , ukamtweka maji na kumtwekuwa...lol lol nicee..

    ReplyDelete


three columns

grids

health