technology

business

DIAMOND NA WCB NDANI YA VISIWA VYA MARASHI ZANZIBAR WAS CRAIZY BABY

Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar

Nikiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa
wamepiga kambi uwanjani kunisubili

Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa
nimewasili,hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri  kwa hamu kumwona the president


Nikizungumza na watu wangu wa zanzibar ndanui ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio

Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach  lesort

Wanahabari kazini





















Unataka kujua mimi na True boy tulifanya nini Zanzibar?stay visting ....

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

4 comments :

  1. nakuombea sana mzaz ufike mbali...me ni #teamwasafi. #teamngololo

    ReplyDelete
  2. Wewe mkari Diamond unakubalika haswaaaaaa,Zanzibar wanakupenda sana ndiyo maana watu wamejitokeza kwa wingi,kweli kazi yako ni nzuri na unabidii kweli ,Mungu atazidi kukusaidia utafika mbali sana

    ReplyDelete


three columns

grids

health