Kwa kijana wa leo lazima ukiona dIzaini hii ya kiatu hiki basi lazima aelewe ni aina gani ya kiatu
na ukionekana umekivaa basi lazima uonekane unaenda na wakati japokuwa kila mmoja ana mavazi yake au kiatu kinachoendana na wakati lakini humu ni kwenda na wakati sawia kabisa.. JORDAN SNEAKERS IV,kiatu kilichopewa jina la mchezaji kikapu mkongwe na nguli nchini marekani kwenye ligi ya kikapu nchini humo almaarufu kama NBA. Viatu hivyo vimeanza kujipatia umaarufu miaka ya1992 akiwa anatumia mwanamichezo huyo akikiva mwenyewe uwanjani lakini mwaka 2009 ndo kimeongezeka umaarufu kwa kipindi hiki imeweza kuweka rekodi ya kuwa kiatu kinachovaliwa sana na wanaamuziki duniani kote ususani marekani na bara la Afrika kwa ujumla..... Jordan imeweza kufanya vizuri nchini marekani na duniani kiujumla huku inatazamiwa zaidi ya watu milioni 200 wanava jordan original duniani kwa sasa uku hali hii ikizidi kutishia uchumi wa makampuni mengine yatengenezayo viatu kuanguka baada wakubwa kwa wadogo kuvamia mtoko huu wa kisasa ambao umewabamba watu wengi duniani........ kwa Mujibu wa Footlocker.com inasema kuwa Jordan ndio kiatu kilichovaliwa sana ndani ya miaka 3 iliyopita ikifuatiwa na Rebook na Nike huku adidas ikishika namba nne....
Unaweza kucheki picha hizi kuangalia watu mbalimbali wakiwemo mastaa wakitupia kwa chini kiatu hicho kikali zaidi..: |
No comments :