Hii ilikuwa show yangu nikiwa mkoani Tabora mahususi kabisa nikiwa nimekuja kukonga nyoyo za mashabiki wang wa kipindi kirefu waliokuwa na kiu ya kuniona kutokana na kipindi kirefu kuwa na Tour mbalimbali...
Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Frank Man Palace...... Nashukuru sana watu wangu wa kweli waliofurika ukumbuni umo hadi kusababisha wengine kuchezea mziki nje ya geti kutokana na wingi wa watu uliofurika......much love kwao watu wangu wa Tabora...!! Zifuatazo ni Picha kadhaa nikiwa kwenye Stage nikifanya yangu kwenye stage...!! |
kweli nimekubali wewe ndiye mfalme
ReplyDeletefresh ila unajua mond nin....
ReplyDeleteumetsha bro!
ReplyDeleteMMMMMM show ilikuwa kali hiiiii big up shabaki hyooooooo kazi kwako inabidi Pen awe mpole maana unapokuwa kazini kila mtu anajikanyaga anavyoweza.namkumbuka yule wa ukelewe
ReplyDelete