JIONI YA LEO NILIVYOKONGA NYOYO ZA MAELFU YA MASHABAKI KWENYE TIGO MIN KABANG BASH JIJINI MWANZA
Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya leo napenda kuwashukuru tigo na wasanii wengine walioudhuria na kufaanikisha Bash hii kiujumla kabisa.....
Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu....... wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...? |
Rama Mpauka akimseti roboti wake |
ikafika time ya the prezident kuingia........ |
Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani |
....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima.... |
Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati wa watu waliofurika wakishuhudia amsha amsha ya wasafi |
nimpende nani sasaaa...........??? |
Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....?? Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua |
hakika nilikumbuka kigoma............ |
siwasikii..etiii?? |
haya twende sasa mashetani yashanianza............. |
aaah..wosaaa aiiiii.....wosaaaaaa...ha ha ha ..vijana wangu wakinipandisha mizuka |
Ndiyo kusema nani amenunaa??nani amenunaaa??siwasikii..nani...?? |
Hii ni helcopter ya Obama,inafahamika kama MARINE ONE |
Hii ni moja ya helcopter za kijeshi zinazokuwa nyuma ya MARINE ONE alimo Obama |
MARINE ONE(iliyojitenga karibu na miti)ikiwa imezungukwa na baadhi ya helcopter za kijeshi,hapo zikiwa zimetuwa mjini Pretoria Africa kusini |
MARINE ONE ikiwa angani nchini Africa kusini |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY