Jana usiku, model na aliyekuwa mwakilishi wa BBA from Kenya HUDDAH, alikuwa aki-host party iliyofanyika paleELEMENTS LOUNGE . …Party hiyo ilihudhuriwa na watu mbali mbali jijini Dar, check baadhi ya picha katika party hiyo hapa chini ;
Arthur akiwa na Huddah.
AY
Jamil & Gillsant
Arthur & Nchakalih
Huddah & Vanessa Mdee
Adam Mchomvu & Dullah
No comments :