technology

business

PICHA ZANGU ZA MWISHO NIKIWA NA NGWAIR....!!

Bado binafsi naona kama nipo usingizini na ni ndoto ndefu ambayo
 naiota pasipo kuamini
kama ni kweli nachoota au Lah....Lakini ukweli unabakia kuwa pale
 pale Albert mangwea atunae tena Dunia..
Ni vigumu kuamini hata kwa mashabiki wa muziki
kuwa Nguli huyu wa Muziki
wa Hip Hop ayupo tena Dunia....
Mara ya mwisho Binafsi nilikutana na Albert Mangwair maeneo
 ya sinza Mori...Ilikuwa Location ya
video ya Madee Pombe yangu,nae alikuwa amealikwa na akaja kutoa
 support yake kwa hali na mali...
mpaka now nahandika ni simanzi
kubwa imetawala na huzuni kubwa ndani ya moyo wangu.....
INNALILAAH WAINA ILAIH RAAJIUN



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

5 comments :


three columns

grids

health