Moja ya habari zilizo make Headline kwenye vyombo vya habari ni baada ya Mwanamuziki wa Kizazi kipya Nakaya Sumari.....kufunguka Juu ya maamuzi yake aliyofikia hivi karibuni... Nakaya alifunguka kwenye kipindi cha XXL ya Clouds Fm....
NA HIVI NILIVYOMNUKUU NAKAYA:"moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa nilipewa hela, kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata, lakini wapi! mi sijapewa hela. wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu ya ushawishi wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr Politician" lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this is not what i can do, siasa ni mchezo mchafu na niliona vinani confuse" amesema Nakaaya |
mpuuzi uyu dada kwani maisha yake yeye na uo utu uzima alionao ni mtuwa kuambiwa fanya ivi acha iki zaidi ni kupokea ushauri na kuufanyia kazi nilimueshimu nikaona ni mtu mwenye akili ila nimemshusha kiwango!1
ReplyDelete