Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu...Mwingi wa rehema zake kwangu na kwako ambae huu mzima muda na wakati kama huu...!! Si kama tu wenye haki sana au wema sana kuwepo salama muda na sahii lakini kwa upendo na baraka zake kwetu...! Ni mema mengi amenifanyia na kuniongoza kwenye mengi ya walimwengu,lakini amekuwa akinijenga sana....!!Kweli yatupasa kumshukuru kwa kila jambo! Napenda kuwatakia siku njema na Ijumaa Njema watu wangu wa Nguvu......Tusihau kufanya Ibada na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.... Kwa Kuwa Mungu akiamua kukubariki mwanadamu hawezi zuia cha msingi usikate tamaa.... Na hata wale walio kwenye wakati mgumu.... mwenyezi mungu awape wepesi wa kila kitu katika jambo na matamanio ya moyo wako...!! Upendo utawale ndani yenu,Kufanya kazi kwa bidii ndio nguzo muhimu...Kidogo upatacho shukuru mungu,saidia wasiojiweza kwa kuwa mungu kakujaalia wewe kupata basi nawe uwe mwepesi wa kutoa,kwa kuwa leo kwako kesho kwake....!! NAWAPENDA SANA.....! |
hakika uo ndo ubinaadamu na hakika yy ndie muweza wa kila jambo tunapaswa tumuombe na kumshukuru ktk kila hali
ReplyDelete