Miss Universe 2007,Flaviana Matata week moja imepita tangu alambe donge nono la kuwa Model ndani ya Kampuni ya kutengeneza mavazi ya aina mbalimbali TRUWORTHS na Juzi kati aliweza kupiga picha za kwanza kama model wa TRUWORTHS baada ya kusaini mkataba huo Nchini South Africa... Flaviana aliezaliwa Mwaka 1988,June 9 shinyanga nchini Tanzania... Alishinda Miss Universe Tanzania na alienda kukupeperusha bendera ya Tanzania na kuwa Mshindi wa 6......Flaviana matata ameshiriki mashindano mengi ya urembo ikiweno Runway ya kwanza chini ya Mwanamitindo Mustapha Hassanali,Vivienne Eastwood,Tory Burch,Suno & Louise Gray na Mshirika wake wa Nguvu Alexander McQueen......
This Is Diamond inamtakia Mafanikio na Baraka tele kwenye kazi yake ya Unamitindo afike mbali kuipeperusha Bendera ya Taifa Letu Tanzania.... |
inapendeza sna kuona watanzania 2nazidi kuchomoza kwenye nyanda tofauti tofauti za michezo mitindo muziki tukiwakilisha vyema tanzania na kuitangaza vyema nchi ye2 kila la kher FLAVIANA MATATA.
ReplyDelete