technology

business

DIAMOND AWEKA HISTORIA MPYA BUKOBA

Napenda kuchukua Nafasi Hii Kumshukuru mungu kwa
 uzima na afya tele aliyonijalia.....
Mpaka kuwasili salama bukoba tarehe 30 march mwaka huu
.....Pia napenda kuwashukuru mashabiki
wote wa mjini bukoba waliojitokeza kwa wengi katika 
usiku wa wasafi mjini bukoba..
Mashabiki walifurika kufikia kunifanya mimi kuwa na 
furaha na faraja kubwa wakati nipo
stejini....na kuzidi kufanya manjonjo mengi na ujuzi
mwingi nikiwa stejini kama kawaida yangu...

Nilikinukisha vilivyo kama kawaida yangu...Nikiwa
 na Silaha zangu za maangamizi
Jeshi la wasafi kwenye Steji....na Kuweka Historia 
Mpya ndani ya Bukoba kuwa 
mwanamuziki wa kwanza kupiga show mwenyewe na
 kujaza watu zaidi ya 3,000 hadi 
 kufikia Uongozi kusitisha kuuza Ticket kutokana na
 Jeshi la Polisi kutoa 
taharifa ingweza kutokea mahafa kama ilivyotokea
 kabla ya Mimi kupanda
Jukwani.....

Zifuatazo ni Picha za Show Ndani ya Bukoba....!!





Taratibu....Mdogo mdogo kusongesha mzigo...!!











Love ilitawala kwa mashabiki kufikia mimi kuvutwa chini na mashabiki 
ukumbini humo...!! kweli mashabiki wa BUKOBA walikuwa na mizuka...!!






Mikono Juu......wotee wotee....!!
Mizuka ishapanda sasa....Ni kukinukisha mpera mpera 
mwanzo mwisho...!!

Camera Man na mashabiki awakuwa nyuma kupiga picha za 
ukumbusho mahana
historia mpya iliwekwa ndani ya jiji la wahaya.....!!





kwenye show viuno mbele mbele...... aghaaa mule mule...!!



Mambo ya kanga moja laki si pesa.....walikuwemo pia....!!

KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji......
!! kit6u ndembe ndembe....!!

kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa
milioni pocketman...!!


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

5 comments :

  1. Yani man, ukiwa kama msanii unaekubalika zaidi ukiacha Juma Nature, namimi nikiwa kama mshabiki kati ya washabiki wako THE PLATNUMZ, usikubali tena kufanya show na hawa KANGA NUSU kiukwelu wanakuharibia man!! maana watu watashindwa kuja kwenye show zako cos of this shit man!! wengine tunaheshima zetu tunakuja na familia zetu kukusapoti matokeo yake tunakuja kuchangia waenda uchi!! we love you that's why we are telling you the truth Buoy!!
    kama laana zao zisije zikakushukia na wewe kaka!! maana mungu keshachoka wakati wowote anaweza kushusha gharika ikwakumba wote!! take care!!

    ReplyDelete
  2. Duh,masuala ya kanga moja mi siyaafiki kabisa kiukweli ni udhalilishaji,na upotoshaji wa watoto.

    ReplyDelete
  3. Kanga empty muogopeni Mungu mnayofanya hayatuumizi tu bali yanaharibu vizazi vyetu nawe nasibu usiangalie pesa na kujaza watu angalia na heshima yako mbele ya jamii!

    ReplyDelete


three columns

grids

health