technology

business

HII NDIO BARABARA INAYOJENGWA KUTOKA BAGAMYO HADI MSATA...

Kama unatokea Tanga kwenda Dar es salaam au Bagamoyo
 unashauriwa kuitumia
 hii barabara ya Msata Bagamoyo na sio ya Msata Dar es salaam
 ambayo ina kilomita nyingi zaidi ya hii.
Ujenzi wa hii barabara naona unakaribia kukamilika,
zimebaki sehemu chache ili yote iwe lami.




Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health