| Nilipowasili Redio Nilikuta nikisubiriwa kwa hamu na moja ya shabiki wangu kukabidhiwa zawadi..! |
| Na hii ndio zawadi nilokabidhiwa na Ali Daudi Msuri Mchoraji mkubwa na maarufu toka Zanzibar...! |
| Hapa nikipokea zawadi Nyingine kwa niaba ya Producer Marco Chali..... |
| Hapa ni picha ya pamoja na Mchoraji Ali Daudi Msuri....!! |
| Hapa nikifafanua jambo kwa undani zaidi..!! |
| Hapa nikiwa na Sutti Toka Zenji Fm Moja ya watangazaji Nguli toka Zanzibar ...!! |

The show in znz was marvellous but pls upload more pict of urs in that show big up Diamond
ReplyDelete