| Nikiongea mawili,matatu kwa washiriki wa Maisha Plus pamoja na watu wote waliyoudhulia |
| Nikipokea zawadi kutoka kwa Babu wa Kijiji cha Maisha Plus.... |
| Nikiwa pamoja na Top 5 ya Maisha Plus |
| Top 5 wakiwa kizimbani... |
| Baadhi ya viongozi waliyoudhulia Final hizo akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo |
| Huyu ndiye Mshindi wa Maisha Plus akiwa na Babu baada ya kutangazwa kuwa mshindi Washiriki,Watu mbalimbali wakimpongeza Mshindi wa Maisha Plus.... |
| & Mose Iyobo |
| Mshindi akikabidhiwa mfano wa Cheki ya Shiringi Milion Shirini |
| Akitoa Shukrani zake... |
| Baada ya kutangazwa mshindi na kutoa shukrani zake ghafla Mshindi huyo alidondoka chini na kupoteza fahamu.... |

mlifanya yenuuuuu,,,safffy sana bby
ReplyDeleteSafiii sana kijana, hakika kati ya wasanii wanaojua wewe mkali ila sasa geukia misaada ya kijamii k.m watoto yatima na wajane. Mungu akuzidishie arifu.
ReplyDelete