| Hapa tukiwa tumefika eneo la tukio....Nikiwa na Mose Iyobo pamoja na Romy J kwaajiri ya kurecord kipindi cha The Mboni Show |
| Tukisalimiana na George Tyson Director wa Kipindi cha The Mboni Show |
| Uwa najiona pasipo kumuomba Mwenyzi Mungu kabla ya kufanya chochote... Najiona siwezi kufanya vizuri wala kutimiza lengo lango. |
| Hapa Mboni Masimba akipitia baadhi ya mambo kabla ya kuanza kipindi... |
| Tukiwa kwenye kipindi... |
| Picha ya Pamoja nikiwa na Mboni & Rj |
| Baada ya show kulizika Hali ilikuwa hivi.... |
No comments :