| Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa Tunzo hiyo baada ya kupokea |
| Hapa nikifurahishwa na kustaajabu jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous...... |
| Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo |
| Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya |
| Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya... moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa |
| Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar.... naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo |
| Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu |
| mnh! kunambi tena..... |
| Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar |
| Redcarpetin kulikua hivi sasa |
No comments :