Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu |
Hapa nikiwa na Dada yangu wa hiyari Halima kimwana |
Wema na dada yangu Esma wakilishana Cake |
All de way from UK Naj pia alikuwepo |
Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky |
Hapa tukiwa na Roho ya Wolper Legraa Dallas |
Bhaaaaaaasssssssss....! |
Rucky Beby tena... |
Joff mnyama pia ndani |
Hapa babtale na Naj wakiteta jambo |
Team sheta pia Ndani.... |
Weeeeeeeeeeeeee.........! |
Dallas tena...... |
Hapa wema na Mboni masimba |
Kama ulikua haujui hawa ndio vijana wanaoongoza kwa Kuvimba mjini........LOL! |
All de way from America Wasafi walikua ndani pia...... |
DOZEN & SHETTA |
Watoto wa ManzeseTIPTOP pia ndani |
Watuacheeeeee na Mama yangu mboni ali masimba....... |
Wema umependeza sana kwa kweli,love u to death... cjutii ww kua 1 of my role models... Mhhhhhhh af kuna mtu cjamuona.. samahani lakini Diamond,nimeuliza tu... nani amenunaaaaa!!!!!!!
ReplyDeleteHappy B-day !!!
ReplyDeleteHappy birthday. Ushauri kwa Wema. Wema you are a beauty na utazidi kupendeza kama utabadilisha style ya mavazi yako ukavaa kama avaavyo Victoria Beckham. Dresses zake huwa ni midi na anaonekana elegant. Hivyo basi kutokana na na figure nzuri uliyonayo, kwa kweli utapendeza. Hebu jaribu kuvaa hivyo uone muonekano wako utakavyobadilika to the better. Nice to see you with Diamond in a friendly manner.
ReplyDeleteyan diamond nkikuona na wema nafurah sssaaannnaa. .happy birthday. .live long, inshaallah mungu akuongezee maisha marefu...kisses,
ReplyDeletegood ongera
ReplyDeleteDIAMOND WEMA LOVES YOU DONT TAKE HER FOR GRANTED,LOVE LIKE THIS IS RARE,ONE DAY U WILL WISH FOR IT BUT YOU WONT FIND IT,TO WEMA YOU GO GIRL!KEPP DOIN WHAT YOU DO,THIS IS LINDA FROM KENYA
ReplyDeletetru dat mumy.. .a wsh diamond cud see dat lov jaman,
DeleteMzee this lady love u kuna wimbo unasema wen mumy love anapenda kisawa sawa so plz stop going around mpatie haki yake mtoto wa mwenzio by da way happy birthday to you
ReplyDeleteNatumai umefurahia sana siku yako ya kuzaliwa nakuombea maisha marefu yenye afya na furaha diamond platinumz presedent wa wasafi
ReplyDeleteHappy belated birthday. Looking good together ope u guys get bck
ReplyDeleteDiamond and wema u guys make me smile kila nikiwaona pamoja to be honest mnapendeza sana ,am so hapi 4 both of u.. may u have many more birth days to cum diamond
ReplyDeleteAny artist that is even surviving right now is a Diamond because things change pretty fast. You're a superstar one day and wake up the next day and you're anonymous. To be successful in any way is beating the odds right now, I think.
ReplyDeletei loooooooooooooooooooooooooveeeeeeeeeeeeeeeeeee youuuuuu wema.......cjui watanzania watanionaje nikimrudia>DIAOMOND SPEAKS HIS MIND>>>PAAAH
ReplyDeleteDiamond mbaya wewe ndio sikuhiyo ukamuona Naj tena ukachanganyikiwa kisa katoka ulaya ukamtongoza.... wewe ndio mchokozi unatafuta kisingizio kuwa Wema ndio anawanaume... mbona yeye hakuoneshei hadharani? wewe huna haya unatongoza wazi wazi mara Joketi mara Naj mara Penny na bado unavumiliwa tu halafu unajidai kuringa..... siyo vizuri all in all you guys rocks together DIAMOND + WEMA = LOVE
ReplyDeletenice! but sorry penny hakuwepo au mbona sijamuona kwenye hizo pictures
ReplyDelete