technology

business

HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA MAHUSIANO YANGU MIMI NA WEMA SEPETU....

Najua watu wengi sana mnapenda Couple hii  na furaha yenu ni kutuona wawili sisi tukiwa kwenye Mahusiano ya kimapenzi.... na mmekua mkifurahi sana na story za hapa na pale mkiskia kua wawili sisi tumekua pamoja na hata pindi mkituona tuko pamoja pia Mmekua mkishangilia na kufurahi... bt ukweli ni kwamba Mimi na Wema hivi sasa si Wapenzi tumekua ni kama Dada na Kaka ama marafki tu wa kawaida ambao tunashirikiana katika kazi mbalimbali za sanaa na za n'nje ya sanaa, katika harakati za kujenga Taifa Letu... Pia ni vizuri ningependa mfahamu kwamba Wema ana Mpenzi wake ambae  namfaham na tunaheshimiana kama mtu na Shemeji yake........So das' de Truth abt me and Her!... and Get ready! kwa kazi tofautitofauti ambazo soon zitadondoka....
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

14 comments :

  1. sawa bana sisi hatuwezi bisha. tunashukuru kwa habari yako bwana mdogo

    ReplyDelete
  2. Mpenzi wa Wema ni Zitto Kabwe??? tiririka tu

    ReplyDelete
  3. http://www.wegambanews.blogspot.com/2012/09/burudani-diamond-huu-ndio-ukweli.html

    ReplyDelete
  4. Oooooooookeeeeey!!! diamond!!but you better prove beyond the reasonable doubt for wanajamii to accept the reality!!!

    ReplyDelete
  5. hayo mapenzi kama ya Chris Bwown na Rihrih Rihanna

    ReplyDelete
  6. aaai jameni mboooona , mnakinaiana jameni DW

    ReplyDelete
  7. you two are jus playin with our minds....awe mpndh uwe mpend vyovyote xawaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. haina nouma jembe tumekosoma ile mbaya

    ReplyDelete
  9. Oooooh! Nooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. so huyo mpenz wake ambaye unamfaham akiskia kama nawe umemega sana hapo hayo mapenz yatakuwa true love kweli au ngono uzembeeeee?????????????

    ReplyDelete


three columns

grids

health