technology

business

HII NDIO ILIKUWA MIZUNGUKO YANGU KWA SIKU NZIMA......

Safari yangu ya kwanza ilianzia Mlimani Tv kwenye Inteview....
Hapa nikiwa tayari kwaajiri ya Interview....

Romy Jones ndani ya mjengo....



Baada ya kumaliza kipindi.....



Njia moja kuelekea Parking.....

Baada ya hapo fujo zote ziliamia Radio Uhuru,coz nilikuwa pia na muariko
kutoka kwa Soggy Dogg kwenye kipindi cha Uhuru Flavour.....












Siku yangu isingeweza kukamilika bila kwenda Mjengoni Clouds....
Mpango mzima ulikuwa hiv
kiboko yao tena....
Baba johniiiiiii


Ndani ya mjengo wa  Clouds.....
My PA Romy Jones pia saa zote alikua akihakikisha
swala la usafi na shughuri nzima imekamilika...




Baada ya kumaliza Interview nilipata fulsa ya kupiga picha na baadhi ya
team  ya Clouds Media Group... hapa nikiwa na Mc Ray na Kibonde
Hapa nikisalimiana na kamamaa,Vanessa Mdee
B12, Vanessa 
B12, Vanessa Mdee,Romy Jones
na Romy & Shadee


Romy & Shadee

Me & Diva

Niko na Baba Johniiii
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

3 comments :

  1. kiukweli rommy can smile ana smile ajabu ila tu anaharibika anavyokuwa na chizi TID nafkiri sio right crue anapendeza zaidi akiongozana na ww infact ww ni ndugu yake na kama mnashare interest sioni sbb ya yy kuenda ktk makundi makundi si akufate umuonyeshe njia jamani,i really heart u diamond ur lyfstyle n everthing abt u unaonyesha una imani sana ktk kila kitu just stay blessed piga kazi mdogo wangu mungu kashakufungulia kazi kwako ss kumaintain achana na totoz zinapoteza malengo tafuta wa ukweli mmoja usimnadi wala nn huyo ndo aje kuwa wife.

    ReplyDelete
  2. Diamond uko vizuri sana ila angalia sana hawa dada zetu watakupotezea malengo yako bure tu!! Kaa chini tulia, piga kazi u j ust find only one girl who will become your wife sio kutwa kuruka ruka tu, achana nao kabhisa haoooooooo!!! Exavery from Kilimanjaro

    ReplyDelete
  3. dogo unaskia watu wanaokutakia mema wanavyosay

    ReplyDelete


three columns

grids

health