| Nipo na Zamaradi Mketema..... |
| Interview & Zamarad Mketema |
| & Millard Ayo |
| Hallah! to ma` bro Chid Beeeeeenz |
| Respect to Japhet Kaseba |
| Peace to ma` Fans..... |
| Mamaa Sinta.... |
| Snura ndani ya nyumba.... |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publisher Eric Shigongo akiwa na Maulid Kambaya |
| Jose Chameleon & H-Baba |
| Jose Chameleon |
| Jose Chameleon |
| Nikisalimiana na mpinzani wangu Jose Chameleon |
| Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitotoa shukrani zangu kwa Askari Police pamoja na Securty kwakuhakikisha ulinzi ni wakutosha..... |
| Uwa napagawa sana ninaposikia kelele za mashabiki..... |
| Msinione nalia,mwenzenu nalia na mengi..... |
| Hemedy (Do me) akiwajibika.... |
| Nawapenda sana watoto wadogo coz nawao uwa wananipenda kaka yao..... |
| Uwa ni kawaida yangu kutoa shukrani zangu kwa mashabiki wangu kabla ya kuondoka eneo la tukio..... |

Ilkuwa n noma xna halla kwa Wasafi wote tisha mbaya...!
ReplyDeletemimi siku zote uwa najua unachokifanya sio kibaya bali uwa unajitaidi ku2pa sis ma fanc wako vitu vizuri im respect u brother pia mzuka mwingne uende kwa wasafi wote nakuombea kwa mungu akujalie kila siku ufanye v2 vya ku2pendeza brother im mgarara wa wasafi
ReplyDelete