| Nautizama mji wa moro kwa umakini ili nikirudi Dsm nipate cha kumuhadithia Mama Nasibu... |
| BBM na Twitter kama kawaida. |
| Sikilizeni niwaambie wasafi wangu hii show sio ya kitoto fanyeni kweli. |
| Inakuwaje Dimpozi shwarii? |
| Dimpozi & Platnumz |
| Nipo na msafi wangu |
| Nawakubali sana Fans wangu.... |
| Mida ya kazi sasa utani pembeni.... |
| Nimpende nani? |
| Mnasemaje nimpende nani? au nimewasikia vibaya? |
| B12 & Zero Eti raia wanasema nimpende yule dada mwenye.....? |
| Fans |
| Nawaogopa sana watoto wa mjini wasije wakaniliza..... |
| Fans |
| Eti nani amenuna? Nauliza nani amenuna? Baaaaaaaasi! |
| New style to my Fans |
| ''Nimemaliza'' |
| Baada ya kazi vijana wakijipongeza kwa kutimiza agizo langu |
| Mmmmh! Mdogo wangu vp mbona umeninunia au nikupishe!? |
| Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu! |
| B12 hii show ilikuwa tayt Weeeeeeeh! |
| |
| Fans wakilichungulia gari tulilopanda.... |
| Kimenuka tayari ngoja niamke niwasalimie yaishe.... |

Diamond watanzaniawanaopenda burudani wanakukubali, usiwaangushe endelea kutuburidisha..u rockkkk man
ReplyDeleteUnyama unyama 2 mwsho wa cku "Nmemaliza"
ReplyDeletewape v2 kaka naona wa2 awajui kama wew ndo platinum umekimiza vbaya mno
ReplyDelete