Hapa general Diamond nikiingia ukumbini na full Security toka kwa jesh la polisi la Zanzibar |
Jeshi zima la Wasafiii likiwa tayari kabisa kwa kui'vunjavunja stage |
Before kwenda stage ikabidi kwanza nifanye interview na Capital Tv.. |
Eb niambie huyu bint wa kiAsia alovaa nguo ya pink umemuona wapi..? |
Skuzote kabla ya kufanya chochote napendaga kumtanguliza mwenyezi Mungu mbele.. na naamini ndio nguzo yangu pekee na ndio inayonifanya hata niwe hapa nilipo |
HIVI NDIVYO UNYAMA ULIVYOANZA KWENYE STEJI,JIONEE JINSI FANS WALIVYOTUPOKEA |
On Stage sasa |
Huu ndio baadhi ya umati ulioudhuria katika show yangu ya Ziff Festival Zanzibar |
Wakati mwingine huwa nahisi kama mashetani yamenishika na kujikuta nalia kweli stejini |
Mi hapa sitii neno....Lol! |
Wanasema music ni moja ya kazi amabayo licha ya kua uko kazini ila inakupa burudani pia wakati uifanyapo kazi hio |
Nilikua kama Cristian Ronaldo napiga miguu yote miwili kuimba na Piano Pia |
Wanasema gym ni moja ya kitu muhim sana kwa mwanamuziki, hufanya hata ukiwa stage ukivua shati upendeze na kuvutia mbele za watu... do you think it's true? |
Ma baby say's Mgongo wangu ni moja ya kitu kinachomfanya Anipende sanaaaaaaaaa...... |
Niwashkuru jeshi zima la Polisi la Zanzibar na security wote walokua wakihakikisha usalama juu yangu na team yangu nzima ya Wasafi |
Dha! maskini hawakutaka hata niingie kwenye gari walipenda hata nibaki japo tuongee mawili matatu lakini ndio hivyo tena management haikuniruhusu....shaaaaaaaaaaaa...! nikasepa |
Mnyama n gud xna kwa kumtangulza Mungu ktk kla jambo...!
ReplyDeleteGmy iko poa xaiv naona unakata vzr...!
"Nmemalizaaaa"
unatisha saaan nakukubali
ReplyDeleteUnatishaaaa
ReplyDeletei am from america nimeona utakuwa na show america nilikuwa taka kujuwa ni club gani na ni lini na ni upande gani coz i wanna see u so bad
ReplyDeletedaaaah mwananguuu umekuwaa sexy lkamaa treysongzz yaniii safiiii
ReplyDeletesana tuu kazi nzuri
ReplyDeletebaba wewe ni haaaaaaaaaaaataaaaaaaaaaaareeeeeeeeeeeeeeeee platinum mwenyewe i like that
ReplyDelete