Prudhoe Bay, Alaska
Picha za baadhi ya vyoo vya ajabu zimeonyeshwa kudhihirisha namna dunia ilivyokuwa na hali mbaya kiusafi.
Picha hizo zinahusisha choo kimoja kilichojengwa kwa mbao katika bustani na ni cha umma kikiwa kimezungukwa na theluji mjini Alaska.
Jimbo la Yenagoa, Bayelsa nchini Nigeria’
Umoja wa Mataifa umesema watu bilioni 2.4 duniani hawatumii vyoo vizuri na wako hatarini kupata magonjwa.
Tazama picha nyingine za vyoo hivyo;
Choo cha baa mjini Paris
Choo cha nyumba mjini Lalitpur, Nepal
Choo cha umma kijijin cha Gatwekera katika makazi duni ya Kibera mjini Nairobi, Kenya
Chhattisgarh, India
Ciudad Juarez, Mexico
Abidjan, Ivory Coast
Chiba, Tokyo
Yuzhno-Kurilsk, Urusi
Choo cha wasichana Algiers, Algeria
Lima, Peru, na huwa hakuna maji katika eneo hilo
Choo cha nyumbani Mandalay, Myanmar
Choo cha umma London Fields mjini London
Choo cha baa Rio de Janeiro, Brazil
Choo cha umma mjini Istanbul, Uturuki
Choo cha nyumbani Palestina
Choo cha hoteli mjini Santa Monica, California, United States
Roma, Italia
Tibet, China
Vyoo vya umma katika mji wa Al Azraq, Jordan
Choo cha nyumgbani mjini Mexico City, Mexico
Choo cha mgahawa mjini Brooklyn, New York,
Choo mjini Illinois, Chicago
vyoo vya dharura Cape Town, Afrika Kusini
Choo cha kuhama mjini Kathmandu, Nepal
Choo cha nyumani huko Manly mjini Sydney, Australia
Tbilisi, Georgia
Huruhusiwi kukojoa mjini Hanoi, Vietnam
Choo cha nyumbani mjini Hong Kong, China
Choo cha saluni mjini Frankfurt, Germany
Beijing, China
Vyoo vikiwa sehemu ya wahamiaji haramu katika kisiwa cha Kos, Greece
Baalbek, Lebanon, vyoo hivyo vimejengwa kwa ufadhili wa Unicef
Vyoo cha hoteli ya kimataifa mjini Pyongyang, North Korea
Choo cha umma katika mtaa wa Oscar Freire mjini Sao Paulo, Brazil
Vyoo vya umma katika kijiji kilochopo Beijing, China
Vyoo vilivyopo katika kumbukumbu za piramidi mjini Cairo, Egypt
Choo mjini Munich, Ujerumani Kusini ambako wanaishi watu wanaotafuta hifadhi
Vyoo vya umma mjini Oslo, Norway
Choo kilichopo nje ya mji wa Santiago, Chile
Alamogordo, New Mexico, Marekani
Ramani ikionyesha nchi zenye vyoo vizuri duniani ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Choo Duniani
No comments :